Urusi 1-0 Saudia
bao la kwanza la kombe la dunia 2018...
Yuri Gazinskiy ndio mfungaji wa bao la kwanza la kombe la duni.
Kiungo huyo wa kati wa klabu ya Krasnodarafunga kichwa kizuri kutoka kwa krosi iliopigwa na Aleksandr Golovin
Urusi 2-0 Saudia
Saudia yalemewa na Urusi
Urusi inatawala mechi katika kila kiungo hapa huku Saudia wakilazimika kulinda lango lao
GOOOOAL!!
Urusi inatawala mechi katika kila kiungo hapa huku Saudia wakilazimika kulinda lango lao
GOOOOAL!!
Kipindi cha kwanza chakamilika Urusi 2-0 Saudia
Kipindi cha pili kinaanza Urusi 2-0Saudia
Saudi Arabia imeshindwa kutekeleza hata shambulio moja
Saudi Arabia imeshindwa kutekeleza hata shambulio moja katika lango la Urusi
Saudia yafanya shambulio la kwanza la mechi
Saudia yaamka na kuanza mashambulio
Timu ya Taifa la Saudia sasa imeanza kushambulia lango la Urusi
Urusi 3-0 Saudia
Goooooal... Urusi yapata bao la tatu dhidi ya Saudia

0 Comments